|
|
Nyimbo za lugha ya kigeni Katika kijitabu chetu cha nyimbo, utaona kuwa nyimbo za mwanzoni ambazo ni kwa lugha ya Kitaliano, na wimbo wa Kiswahili “nitasimama” ni nyingi sana. Hivyo basi inaonekana kuwa nyimbo nyingi ni zile za lugha ya kigeni. Kati ya nyimbo 90 (tisini), 60 (sitini) aidha zinatoka Afrika au Amerika ya Kusini. Nyimbo hizi ni kutoka lugha ya: Kiswahili (Tanzania, Kenya na Congo RD), Lingala (Congo RD), Chichewa (Zambia na Malawi), Makua (Msumbiji), Azande (Congo RD), Spagnolo (Colombia, Argentina na Ekwador), Portoghese (Brazil), Creolo (Guinea Bissau). Sisi tunapojifunza na pia tuanpopendekeza
wimbo fulani, tunajitahidi kadiri tuwezavyo kutunza mtindo na asili ya
nyimbo zote. Historia
ya nyimbo - Maneno na tafsiri yake - CD
|