home

 


Jina la Bandeko

Katika lugha ya kilingala, “Bandeko” inamaanisha “ndugu”. Lingala ni lugha inayozungumzwa katika nchi ya Congo. Hivyo basi, kama tulivyoandika mwanzoni mwa kijitabu chetu cha nyimbo, inatakiwa kusizitiza daima kuwa na moyo wa undugu wakati wowote katika maisha yetu.

 

 

 

 

 

Mappa del sito