|
Sisi wanabandeko
Mpaka sasa kwaya yetu ya Bandeko ina wanachama
wapatao 40 (arobaini). Katika kikundi, wapo wale ambao daima wamekuwa
wanachama wa chama cha kujitolea kama vile chama cha Africa Oggi, na pia
wapo wale ambao wanapenda tu kuja kujumuika nasi katika kwaya (bila ya
kujishughulisha na shughuli za chama cha bandeko).
Lengo
- Picha
|