home

 


Lengo

Kuimba katika lugha ya kigeni ni kama chombo cha kuishi maisha tofauti ya kiroho, kushirikisha watu zaidi wakati wa ibada, na kutoka ushuhuda wetu kwa ajili ya ulimwengu wa haki na mshikamano.

Kwa kweli sisi tunaamini kuwa kuimba kunatuweka pamoja. Kwa njia ya umoja wetu tunaweza kutoa ushuhuda wa imani ya dini yetu, na pia kutoa ushuhuda wa thamana ya haki za kibinadamu ambazo zinatuunganisha.

Kwa hiyo basi, tunapojitoa na kuunganika katika raha na ubinadamu wa hawa wenzetu wanaoishi nchi za mbali; na vilevile tunapokuwa na mang’amuzi ya kumheshimu kila mtu, tumeshauriwa kuwa wanyenyekevu, tuwe vyombo vya kuleta ile raha na uhai unapatikana katika sherehe za liturgia mbalimbai.

 

 

 

 

 

Mappa del sito