home

 


Shukrani

Awali ya yote tunapenda kuwashukuru wale wote (ambao, kwa bahati mbaya hatufahamiani) waliotunga nyimbo hizi,
pia shukrani zetu ziziafikie jumuiya zote ambazo kwazo tumeweza kupata nyimbo hizi.
halafu tunawashukuru wale wote walioshiriki,
kwa mchango wao wa hali na mali, katika kuendeleza na kukuza kwaya yetu,
shukrani zetu pia ziwafikie wale wote waliotualika na wale waliofurahia kutusikiliza daima.
Asanteni.


Muhimu: Shukrani za dhati ziwaendee Mhashamu Askofu Elia Mandelli na baba Luigi Badi wa Parokia ya Lambrate ambaye kwa ukarimu wake, ametukaribisha katika Parokia yake kufanya mazoezi ya nyimbo.

Shukrani ya mtandao.

 

 

 

 

 

Mappa del sito